Nataka nitrack simu ya mwanangu nifanyaje

Inawezekana hikiwa huyo mtu unashikaga simu yake pia anatuamia smartphone tynaweza kuweka app Ambayo utawezq kuona vitu vingi kwake

Picha anazo tuma na kutumiwa
Call logs zake uku ikiwa na uwezi wa kurekodi

Contact zake zote
Sms
Location aliyopo
Battery la simu yake na charge pia [emoji4][emoji847]

Karibu katika page yetu utajifunza sasa

 
Kuna comment nasoma nacheeeka.et mzazi kaa uongee mahusiano na binti yako ..mna ongelea Bongo hii au
🀣🀣🀣🀣 labda hizi familia za kishua sio uku kwetu uswahili

Utasikia we jane weh endelea tu na huyo kifaulongo wako alafu uje na zero hapa oho 🀣🀣🀣🀣
 
Kuna comment nasoma nacheeeka.et mzazi kaa uongee mahusiano na binti yako ..mna ongelea Bongo hii au
Comment za hivyo nyingi ni za vijana ambao watoto wao wapo kwenye kondoms tu hawajui hata kulea mtoto wanaishi ki movie movie yaan kifupi hawana hata hao watoto

Kifupi ni kwamba pamoja na kukaa na mtoto na kumueleimisha na kumfunza lazima ubaba uwepo na yeye atambue hilo ukileta ushkaji ulio pitiliza na watoto jiandae kwa lolote ndo yatakuwa kama yakina paula na mama ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…