Nataka nitumie BAISIKELI badala ya Gari na Pikipiki

Nataka nitumie BAISIKELI badala ya Gari na Pikipiki

1x1

Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
20
Reaction score
16
Hery ya Mwaka mpya 2020.

Kutokana na uvivu wa kufanya mazoezi ya viungo, kupanda kwa gharama za Maisha (hata jamiiforums hawapati matangazo 😢😢😢).

Nataka niaze kutumia Usafiri wa BAISIKELI naomba mwenye kujua sehemu wanapo uza BAISIKELI nzuri weka bei na mawasiliano. hata kama ni USED.
 
Wapo...

Lakini kwa mtazamo wa mleta mada ni kwamba ataitumia baiskeli kama mbadala wa gari au pikipiki...

Miji ya Tanzania ikiwemo Dar haijajengwa na miundombinu inayowalinda watumiaji baiskeli...

Hivyo kuna hatari kwa matumizi anayotarajia akajiweka hatarini zaidi...
Kwani Dar hakuna waendesha njenje?!?
 
Mimi natumia baiskeli . Sina uwezo wa kununua gari . ila wa piki piki ninao.
Kutoka Kwangu hadi kibaruani ni km 2.kiukweli mara ya kwanza niliona aibu kuendesha baiskeli. Lakini nikaanza kuzoea mpaka sasa naendesha na unanisevu sanaaa buku buku za bodaboda za kwenda na kurudi..
Na pia ni zoezi tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Misele yake itakuwa ni pembezoni mwa barabara kubwa?

Huoni kama kuna wakati atakuwa anatumia barabara kubwa ambazo zinakuwa na madereva wasio makini mara nyingine...
Inategmea na matumizi yake..mim kipind nipo chuo nilinunua bike..misele yangu mtaani tu mitaa ya kigambon...kama umefika kigambon naamin utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utanunua Baiskeli kwa kuendea kazini kwa mji kama Dar andaa vifuatavyo:Rucksack kwa ajili ya kubebea nguo za kubadilisha kutokana na kutokwa sana na jasho,Handkerchief kwajili ya kufutia jasho na Hela ya Lita moja ya maji kila siku au ubebe maji ya kunywa kutoka nyumbani...
 
Aisee mtoa mada shida yake ni hii hapa

"naomba mwenye kujua sehemu wanapo uza BAISIKELI nzuri weka bei na mawasiliano. hata kama ni USED."

Siyo ushauri mnaoutoa mpaka wengine kumtia hofu kwan Dsm hapa hakuna wanaotumia usafiri huo??

Wauza baiskeli tupeni muongozo tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategmea na matumizi yake..mim kipind nipo chuo nilinunua bike..misele yangu mtaani tu mitaa ya kigambon...kama umefika kigambon naamin utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Kigamboni pekee inaweza ikawa salama vile magari si mengi na pia kuna chocho/shortcuts ambazo mwenda kwa baiskeli huweza kuzitumia kukwepa hatari ya magari...

Jaribu kufikiria unaishi Mbezi Mwisho na unataka kuitumia baiskeli kwenda tufanye Ubungo tu...

Kipande cha Mbezi hadi Kimara Bucha, itamlazimu mwenda kwa baiskeli kutumia lami sawa na magari kwa kuwa hakuna njia mchepuko/service road na hiyo ikawa hatari zaidi kwake...
 
Yes ndio mana nikasema dar kubwa..so inatagemea anaishi maeneo yapi,na misele yake ni ya wapi.... anyway tuache jamaa atoe kitambi kidogo
Kwa Kigamboni pekee inaweza ikawa salama vile magari si mengi na pia kuna chocho/shortcuts ambazo mwenda kwa baiskeli huweza kuzitumia kukwepa hatari ya magari...

Jaribu kufikiria unaishi Mbezi Mwisho na unataka kuitumia baiskeli kwenda tufanye Ubungo tu...

Kipande cha Mbezi hadi Kimara Bucha, itamlazimu mwenda kwa baiskeli kutumia lami sawa na magari kwa kuwa hakuna njia mchepuko/service road na hiyo ikawa hatari zaidi kwake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hery ya Mwaka mpya 2020.

Kutokana na uvivu wa kufanya mazoezi ya viungo, kupanda kwa gharama za Maisha (hata jamiiforums hawapati matangazo [emoji22][emoji22][emoji22]).

Nataka niaze kutumia Usafiri wa BAISIKELI naomba mwenye kujua sehemu wanapo uza BAISIKELI nzuri weka bei na mawasiliano. hata kama ni USED.
Nenda pale nyuma ya china plaza zimejaa nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utanunua Baiskeli kwa kuendea kazini kwa mji kama Dar andaa vifuatavyo:Rucksack kwa ajili ya kubebea nguo za kubadilisha kutokana na kutokwa sana na jasho,Handkerchief kwajili ya kufutia jasho na Hela ya Lita moja ya maji kila siku au ubebe maji ya kunywa kutoka nyumbani...
Zingatia hili hili jua ukitembea kwa mguu mita 100 tu jasho glass imagine mibaiskeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baiskeli bei inategemea na aina gani unayohitaji. Kuna baiskeli bei inafika mpaka laki 7 na ni Used.

Kama ni kwa ajili ya mazoezi usichukue ya gia endapo upo Dar maana hakuna milima mingi itayokufanya utegemee gia.

Kumbuka kununua na pump ya kujazia upepo na uwe unatembea nayo kuepusha usumbufu mdogo mdogo ukiwa njiani.
 
Back
Top Bottom