Kwani Dar hakuna waendesha njenje?!?Kama upo Dar es Salaam na una mpango wa kutumia baiskeli basi unaelekea kuhatarisha uhai wako
Phoenix/swala/Avon/baiskeli ya gia/baiskeli ya mtumba.Unanikumbusha mbali mkuu..enz hizo nina delela kitaaa kizima natamba mimi tu [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo Dar es Salaam na una mpango wa kutumia baiskeli basi unaelekea kuhatarisha uhai wako
Hiyo ya gia ndio delela hilo..yani enz hzo hadi wachumba hawachomoki hapoPhoenix/swala/Avon/baiskeli ya gia/baiskeli ya mtumba.
dodge
Kwani Dar hakuna waendesha njenje?!?
Misele yake itakuwa ni pembezoni mwa barabara kubwa?
Inategmea na matumizi yake..mim kipind nipo chuo nilinunua bike..misele yangu mtaani tu mitaa ya kigambon...kama umefika kigambon naamin utaelewaMisele yake itakuwa ni pembezoni mwa barabara kubwa?
Huoni kama kuna wakati atakuwa anatumia barabara kubwa ambazo zinakuwa na madereva wasio makini mara nyingine...
Kwa Kigamboni pekee inaweza ikawa salama vile magari si mengi na pia kuna chocho/shortcuts ambazo mwenda kwa baiskeli huweza kuzitumia kukwepa hatari ya magari...Inategmea na matumizi yake..mim kipind nipo chuo nilinunua bike..misele yangu mtaani tu mitaa ya kigambon...kama umefika kigambon naamin utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Kigamboni pekee inaweza ikawa salama vile magari si mengi na pia kuna chocho/shortcuts ambazo mwenda kwa baiskeli huweza kuzitumia kukwepa hatari ya magari...
Jaribu kufikiria unaishi Mbezi Mwisho na unataka kuitumia baiskeli kwenda tufanye Ubungo tu...
Kipande cha Mbezi hadi Kimara Bucha, itamlazimu mwenda kwa baiskeli kutumia lami sawa na magari kwa kuwa hakuna njia mchepuko/service road na hiyo ikawa hatari zaidi kwake...
Nenda pale nyuma ya china plaza zimejaa nyingiHery ya Mwaka mpya 2020.
Kutokana na uvivu wa kufanya mazoezi ya viungo, kupanda kwa gharama za Maisha (hata jamiiforums hawapati matangazo [emoji22][emoji22][emoji22]).
Nataka niaze kutumia Usafiri wa BAISIKELI naomba mwenye kujua sehemu wanapo uza BAISIKELI nzuri weka bei na mawasiliano. hata kama ni USED.
kabla ya "delela" Three speed ndio mpango mzima .Unanikumbusha mbali mkuu..enz hizo nina delela kitaaa kizima natamba mimi tu [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zingatia hili hili jua ukitembea kwa mguu mita 100 tu jasho glass imagine mibaiskeli.Kama utanunua Baiskeli kwa kuendea kazini kwa mji kama Dar andaa vifuatavyo:Rucksack kwa ajili ya kubebea nguo za kubadilisha kutokana na kutokwa sana na jasho,Handkerchief kwajili ya kufutia jasho na Hela ya Lita moja ya maji kila siku au ubebe maji ya kunywa kutoka nyumbani...
Sheng shen hii ina kiti cha kukalia kina spring kama kitanda cha Banco.Phoenix/swala/Avon/baiskeli ya gia/baiskeli ya mtumba.
dodge