Naamini inawezekana ukiamua na ukidhamiria. Jitahidi kuongea na mwanamke uso Kwa usoMimi siwezi kulewa naona njia pekee itayonisaidia ni kuwambia wazee wanitafutie mke
Mfano mpaka sasa tangu January nimetongozwa na mademu wawili nikaona nihame mtaa, mwaka jana pia mademu wawili, cha ajabu wanaonitongoza siwataki, nionawatongoza mie wengi wao hawanitaki, hiki ndo kinachonishangazaga duniani.Tulia watakutongoza wenyewe.
Na ndio inavokua wale mademu uliokua huwataki ndio wanaokutongoza na uliokua unawataka hawakutakiMfano mpaka sasa tangu January nimetongozwa na mademu wawili nikaona nihame mtaa, mwaka jana pia mademu wawili, cha ajabu wanaonitongoza siwataki, nionawatongoza mie wengi wao hawanitaki, hiki ndo kinachonishangazaga duniani.
Huo sio udwanzi. Mimi huo unaouita udomo zege umeniongezea siku za kuishi tena zenye furaha tele.Eti wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye sijawahi kua na mahusiano yoyote naombeni ushauri wenu,nitatokaje kwenye huu uduwanzi wa kutokuweza kutongoza ukizingatia nahitaji kua na family kama ilivo kawaida kwa kijana wa kiume