Nataka niuze nchi ya Tanzania nifanyeje?

Nataka niuze nchi ya Tanzania nifanyeje?

Bookschool

Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
9
Reaction score
0
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?

ANYONE who tired.
 
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?

ANYONE who tired.

Bookschool umezaliwa Leo

Unataka kurudi kuzimu Leo

Kaa tu kijana, utakuwa sugu kama wengine.
 
Jiunge na chama cha kuuza nchi na kujilimbikizia mali
 
hahahahah hii ilifaa kuwa jukwaa la jokes,kweli umetuchoka mwanawane......asante kwa kuifanya asubuhi yangu kuwa njema.
 
Bookschool
l
user-offline.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Tue Dec 2010 Posts 1 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts
 
Kwa kukusaidia ni kwamba, NCHI HII ILISHAUZWA!...Labda ukanunue kwa mnunuzi.
 
Wewe tapeli, unataka kuuza nchi ambayo ilishauzwa?
 
Da Bookschool, unataka kuuza nchi?, sasa tutaenda wapi ndugu yangu?, Kwa nini Husikomae tu kama wenzako, we vumilia tu machungu yote (Umeme Juu, Nauli za daladala kupanda, maji juu, mafuta juu, vyakula bei juu).

Bora JIPANGE kuwauza MAFISADI wotee, NCHI YETU TUACHIE.

Jipange kuwaondoa Mafisadi kwenye nchi yetu Dowans, Epa na viongozi wasio na Uchungu na Wanaojidanga kuwa Hawatakufa.
 
Uza familia yako tu kuanzia Baba yako,mama yako,mkeo na dada zako wajiuze ili upate pesa!
 
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?

ANYONE who tired.

nenda PPRA...
 
Dah, wataka kuuza nini? Uko chini ya ulinz, natuma TISS,WANAKUJA... Nchi hii ni yangu mimi.
JAKAYA MRISHO KIKWETE
 
Bookschool,

Vaa nguo za kijani na manjano halafu pitia ofisi zilizopo Lumumba, ukifika eleza shida yako, kama uko tayari kutoa 10% to 30% ya bei utakayouzia utapewa kibali.

Utaratibu sio mgumu, mkuu.... Nguo za kijani na mamnjano na brief case! Ufanye haraka, kuna madalali wengi.
 
Huwezi kuuza kitu ambacho kimesha uzwa. Ungetaka ushauri wa kumuua RA ningekupa na ungefanikiwa ndani ya masaa 24.Labda kama kuna mtu amefika bei, basi weka cha juu then muone RA kwani yeye ndiye mmiliki wa sasa wa nji hii.
 
Bookschool,
kumbe wewe ni junior... Unavuta majani? au hang over hiyo?

wewe jenga uwezo wa kuwa mpambanaji ili ukifikia umri uje uikomboe nchi yako... Shamba la bibi halikosi mazao.

kuna mali nyengine bado haijagundulikana, kwa hiyo waache wavune na wewe jitayarishe kupambana nao, dogo umenichekesha sana.
 
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?

ANYONE who tired.

ongea na wahindi
 
Back
Top Bottom