stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,105 Sep 20, 2012 #1 Mimi ni mwanachuo mtarajiwa! Naingia chuo siku sio nyingi! Natamani niwe AUDITOR na ninaenda kusoma BACHELOR OF ACCOUNTANCY nataka nisome mpaka MASTERS na sijajua nitakuwaje AUDITOR natamani sana.... PLEASE NAOMBA USHAURI WENUU
Mimi ni mwanachuo mtarajiwa! Naingia chuo siku sio nyingi! Natamani niwe AUDITOR na ninaenda kusoma BACHELOR OF ACCOUNTANCY nataka nisome mpaka MASTERS na sijajua nitakuwaje AUDITOR natamani sana.... PLEASE NAOMBA USHAURI WENUU
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Sep 20, 2012 #2 ninavyojua ukishapata degree yako unaenda kuchukua CPA ukishaipata ndo unakuwa auditor...i stand to be corrected...
ninavyojua ukishapata degree yako unaenda kuchukua CPA ukishaipata ndo unakuwa auditor...i stand to be corrected...
R REYRO JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 968 Reaction score 244 Sep 20, 2012 #3 Kwanza fanya auditing kwenye hiyo post ambayo umechapia then ntakujuza