Nataka niwa AUDITOR!!!

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,105
Mimi ni mwanachuo mtarajiwa!

Naingia chuo siku sio nyingi!

Natamani niwe AUDITOR na ninaenda kusoma BACHELOR OF ACCOUNTANCY nataka nisome mpaka MASTERS na sijajua nitakuwaje AUDITOR natamani sana....

PLEASE NAOMBA USHAURI WENUU
 
ninavyojua ukishapata degree yako unaenda kuchukua CPA ukishaipata ndo unakuwa auditor...i stand to be corrected...
 
Kwanza fanya auditing kwenye hiyo post ambayo umechapia then ntakujuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…