Nataka niwe gentleman, nipeni mikato

Nataka niwe gentleman, nipeni mikato

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Inakuwaje watu wangu wa nguvu

Ssa wadau kwakuw wana-JamiiForums tumekuwa ni wenye kupeana msaada mbalimbal kimawazo na kivinginevyo,
Leo mwanenu ndugu bwana Fene nimekuja kuchota maarifa ya ki-gentleman

Usisite kutoa mikato yako kwani nikidokoa kimoja kimoja kutoka kwa kila mmoja hatimae nitakuwa gentleman

Fungukeni wadau kwani peni na daftari vipo mkononi mwangu
 
Vaa code za kijanja, form six kidogo... mashati flan ya kuvalia jeans.. jeans zisizokuwa na mambo mengi... plain ni mkao zaidi... jitahd usikose saa... hlf sasa pambana unukie, nukia mzee...
Makin sana Mkuu
 
Ukiweza kuwa kama Magufuli by 100% utakuwa sukari yao 😅!

Kila manz anapendaga ile calibre...japo analalamika ila hatamani kuondoka,,, ule ndio ujentromeni kweri kweri!
 
Vaa code za kijanja, form six kidogo... mashati flan ya kuvalia jeans.. jeans zisizokuwa na mambo mengi... plain ni mkao zaidi... jitahd usikose saa... hlf sasa pambana unukie, nukia mzee...
Alaf akimaliza hayo yoooote atafute ela

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom