Nataka niwe mke wa pili

Loveeness78

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
280
Reaction score
294
Habari wakuu,

Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari. Nitafurahi sana kama akitokea mtu mwenye nia ya kweli.

Natanguliza shukrani.
 
Haina shida hujasema unamtaka wa dini yoyote au unamta yoyote
 
Hongera zako na kila la heri. Kama hutajali swali langu kwanini unataka uolewe na aliyekuwa ndani ya ndoa? Akitokea ambaye hayumo ndani ya ndoa utamkataa?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…