Nadhani wewe tutaelewanaNjoo uwe wangu mana nataka msomi awezi kunishauri biashara zangu ili ziweze kupanuka zaidi kwa kutumia elimu yako mimi nina mtaji wa kutosha lakini elimu yangu ndogo
Mfalme selemani alikuwa na wake wa ngapi? Lamech alikuwa na wake wa ngapi? Ibrahim alikuwa na wake wa ngapi, daudi alikuwa na wake wangapi?Mkristo wa wapi wewe! Hivi siku hizi tumeruhusiwa hili? Haya hongera dada...
Kwani Mfalme Selemani alikuwa Mkristo?Mfalme selemani alikuwa na wake wa ngapi? Lamech alikuwa na wake wa ngapi? Ibrahim alikuwa na wake wa ngapi, daudi alikuwa na wake wangapi?
Na hao wote walikuwa wakiongea na Mungu USO kwa USO! Je Mimi na wewe? Ambao hata kujiombea tu hadi twende kwa mchungaji!
Mungu amesema mbinguni hakuna mke wala hakuna kuoa wala kuolewa!!!!!
Sema ni wapi kwenye biblia wamesema mwanaume aoe mke mke mmoja!
Au hujui kuwa wanawake tuko wengi kuliko wanaume?
Bora uolewe kuliko kuendelea kuzini zini na kila suluali! Maana wanaume wako wachache,je tukisema kila MTU aoe mmoja itakuwaje??????
Usitumie macho ya nyama, fikiria zaidi, tazama mbali dear, utagundua kuwa niko sahihi!
Njoo pmHabari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Hapo kwenye bold, hilo lilika zamani sana tu, kuna vijana wengi tu nawafahamu wameishia form 4 na still wanamiliki wanawake wenye degree na maisha yanakwenda. Mwanamke akiisha kua na uhakika wa kulishwa na kulindwa hata mwenye masters unaoa tu na hasa kipindi hiki cha Magu.Kiukweli maamuzi yako utachukiwa na wanawake wenzio
Hafu niwaibie siri, huku mtaani ukishakua na digrii tuu huna sifa ya kuwa mke, labda mke wa haki za akina mama
Tatizo ushaanza na neno kulishwa, ukumbuke humuoi aje umlishe tuu,. Na kwa kigezo hicho kwa anaejua kuwaoa hao imekua ni kujipalilia makaa. Watakuigizia mpaka basiHapo kwenye bold, hilo lilika zamani sana tu, kuna vijana wengi tu nawafahamu wameishia form 4 na still wanamiliki wanawake wenye degree na maisha yanakwenda. Mwanamke akiisha kua na uhakika wa kulishwa na kulindwa hata mwenye masters unaoa tu na hasa kipindi hiki cha Magu.
Ndugu mpaka kaamua hivyo ujue huyo ni mvivu na musomi anaetaka maisha yaliyoandaliwa na mke mwenzake, hataki kutafuta wa kwake wakasota naeKwa nini mke wa pili, umri wako bado unaruhusu kumiliki cha kwako mwenyewe
Soma kitabu cha mwanzo ( 4:19) wafalme 1, aya (11:3).Kwani Mfalme Selemani alikuwa Mkristo?
Ibrahimu alikuwa Mkristo?
Lameck alikuwa Mkristo?
Hebu jibu kwanza hayo tuendelee.
Hawa walikuwepo kabla hata ya Cristo, na waliongea na Mungu aliemleta Cristo.Kwani Mfalme Selemani alikuwa Mkristo?
Ibrahimu alikuwa Mkristo?
Lameck alikuwa Mkristo?
Hebu jibu kwanza hayo tuendelee.