Nataka niwe naprint T.Shirt . Nahitaji vifaa gani?

kunywakoka

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
8
Reaction score
0
habari wakuu.

Nahitaji niwe naprint t.shirt. Zamani nilikuwa natumia X-Ray. Yani unaichonga arafu unaiweka kwenye T.shirt arafu unachukua sponji unachovya kwenye rangi kisha unaprint juu ya ile x ray.

Sasa najua ipo ile njia ambayo unatumia kitambaa ( Screen ). Je, njia hii inahitaji vifaa gani. Na kila kifaa kina gharimu shilingi ngapi?.

Naomba kuwakilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…