Damianjamii Member Joined Sep 20, 2016 Posts 6 Reaction score 2 Sep 22, 2016 #1 Sasa naombeni ushauri wenu waelewa. Toyota harrier used abroad 1999 cc 2160. Je vipuri, ulaji wa mafuta na katika safari inafaa au Land cruser plado TX 1998 cc 2690 ya kununua kwa mtu. Imeweza kunifaa. Naombeni ushauri.
Sasa naombeni ushauri wenu waelewa. Toyota harrier used abroad 1999 cc 2160. Je vipuri, ulaji wa mafuta na katika safari inafaa au Land cruser plado TX 1998 cc 2690 ya kununua kwa mtu. Imeweza kunifaa. Naombeni ushauri.
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,067 Reaction score 4,434 Sep 23, 2016 #2 Tx utAkula mitama ya kutosha