Nataka nunua vitunguu swaumu

Nataka nunua vitunguu swaumu

Joined
Feb 8, 2017
Posts
79
Reaction score
27
Wakuu,

Nataka nunua vitungu swaumu kwa bei ya shambani vinapatikana mkoa gani? Bei zake zikoje.

Naomba mnijuze
 
Vitunguu swaumu nenda babati manyara viko kibao ndio wanalima large scale kule
 
Back
Top Bottom