Nyumba ninayokaa nakaribia kuhama, ipo sinza . ina vyumba vitatu , sebule na jiko na bafu na choo chake na mita yake pia . bei poa. Ukiweza nikuunganishe na mwenye nyumba bei poa kabsa
Teh!! teh!!!!!! rubi nawe bhana[emoji23]Bei poa ndio shilingi ngapi mkuu
350 /= tu mkuu kwa mweziZungumza mkuu