Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
pole kwa matatizo ya mumeo.
umeshajua mumeo anakuchit na mwanamke unamjua kwanini sasa unajifanya kipofu wakati unaona? maswali ya kujiuliza kwanini hakupendi kama zamani? au ww ndo umejisahau baada ya kuingia kwenye ndoa? ukiona ivyo jua kunatatizo tena kwako, kwanini nasema ivyo?
jamaa alikua single kipindi cha nyuma, akafanya ujinga wake wote lakini alivyokutana na ww akasema uyu ndo wangu wa kufa na kuzikana, alikuchagua ww kati ya millions of grls, that means kunakitu anakipenda kwako ambacho wanawake wengine hawana, je baada ya kuolewa kipi ulipunguza?
jiweke msafi wakati wote, mpikie chakula anachokipenda ww mwenyewe sio beki tatu wenu, mchagulie nguo za kazini, nenda kaoge nae, na zaidi ya yote usiku kitandani kuwa Malaya kwake, fanya ujinga wote,,,,, hakuna atakae kutangaza eti ww ni Malaya kwa mumeo.