Nataka Uhuru Kenyatta Ashinde!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,810
Jubelee ni kweli Kila Kiashiri Kinaonyesha Waliingiza Fomula kwenye Server za IEBC ili kushinda uchaguzi wa Nane nane, Uliofutwa. Ila pia ni ukweli walifanya ujinga kwa kuongozwa na hofu kwani hata bila kuiba inaonekana Bado Jubelee ya Uhuru Wangeshida.

Uchaguzi Wa Marudio Namwombea sana Uhuru ashinde, kwani Iwapo atashinda. Itabidi Aombwe na Ashawishiwe sana! Atusaaidie Wamasai angalau Kamkuki-Nng'e kamoja kawasaidie kulinda Ngombe zao. Maana sisi Wamasai Kenya Tunaonewa sana, hata pa kulisha mifugo yetu tumekatasiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…