Nataka ya peke yangu mie

halafu kaka, mechi za ugenini si unajua kuwa kila gol utakaloscore,
lina advantage, wenyewe wanasema'' away goal'',
Ukirudi mechi ya nyumbani hata ukidraw tu,
unapita round ya pili!!!!!!!

ye hajui hlo
 
Kwisha kazi!!!! Kama mpango ni vyama vingi, ukigundulika ni fisadi utakubali kuvua GAMBA ???? teh teh!
 
[SIZE=+0]mchezaji mzuri ni yule anayepata mechi nying za kirafki...................................[/SIZE]


Duh, wewe unaua. Mechi zenyewe wachezaji hawana viatu unategemea nini? Viwanja vyenyewe vya huku.
Majiko yapo, piga sala tuu.
 
kwakuwa unadhani majiko ni sawa na vyama vya siasa? leo upo NCCR Manunuzi kesho upo CCM???????????

aaaaaaaaaaahhhhhhhh nakuja huko huko kuku PM naona leo hauko sawa ww!!!!!!!!

Heeeee,..
ngoja kwanza,..
kwani hapa "Jiko" linalo ongelewa ni nini?
kama ni jiko la kupikia sioni kosa ati!

Kama ni vinginevyooooo,inabidi susy leo unambie kua umekubali kuitwa "jiko" haha
 
Jiko lako lipo. ,sema hujajua ulipate wapi,.
 
Duh, wewe unaua. Mechi zenyewe wachezaji hawana viatu unategemea nini? Viwanja vyenyewe vya huku.
Majiko yapo, piga sala tuu.
nawashauri wanunue viatu vya micheazo. hapo vp??????????????????
 
Wataka la peke yako,hiyo ni hiari yako,
wakodolea wenzako,wapate kilicho chako
jua kulitunza lako,wasiharibu wenzako
jiko ni lapeke yako,la jirani si la kwako
 
Wataka la peke yako,hiyo ni hiari yako,
wakodolea wenzako,wapate kilicho chako
jua kulitunza lako,wasiharibu wenzako
jiko ni lapeke yako,la jirani si la kwako
 
Ndoto za mchana hizo ndugu la peke yako??? Wapi?? Bongo, Moro,AR, MZA, MBY nk unacheza makida kwenye nyaya za umeme
 
viatu vilivyopo madukani vya wachina. Vinatoboka hata halfu time bado na mtu kishampiga kipa chenga, ataacha goli akavae kiatu?
hapo shughuli ipo?????????????.
 
Nunua alafu ulifungie ndani hata majirani wasione!
 
halafu kaka, mechi za ugenini si unajua kuwa kila gol utakaloscore,
lina advantage, wenyewe wanasema'' away goal'',
Ukirudi mechi ya nyumbani hata ukidraw tu,
unapita round ya pili!!!!!!!

Bacha vipi mkuu,naona unatumia uzoefu wa experience ya muda mrefu.Teh teh..teh.....
 
zote si michezo??????. More practise make perfect!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Pia jiko lako peke yako litakuongezea majukumu. Ila ikiwa mpo wengi mnagawana majukumu.

kazi kweli kweli....very wise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…