Natakaa app ya jamii forum kwenye pc

Charles Gerald

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
1,403
Reaction score
1,837
Wakuu habari.
Nataka kupakua app ya jf kwenye computer yangu, naomba kwenye link aweze kunipa au msaada jinsi ya kuipata, najaribu kuipakua hapa inanishinda.
 
kwanini utumie app kwenye pc wakati tayari site ya jf ya pc ni nzuri kushinda hio app?

kama still unataka app download bluestack au nox au emulator yoyote ya android then kupitia hio emulator ingia playstore na kudownload hio app ya jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…