Nataki nijue machimbo ya vyombo vya ndani kwa bei ya jumla jamani

Nataki nijue machimbo ya vyombo vya ndani kwa bei ya jumla jamani

Joined
Feb 6, 2012
Posts
7
Reaction score
1
Maana nazunguka mtaa wa aggrey sijaona hasa pia bread maker
IMG-20190207-WA0000.jpeg
IMG-20190207-WA0002.jpeg
IMG-20190126-WA0000.jpeg
IMG-20190126-WA0022.jpeg
IMG-20190129-WA0017.jpeg
Screenshot_20190303-193704.jpeg
IMG-20190129-WA0026.jpeg
IMG-20190126-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtaa wa aggrey baada ya msikiti ukiwa unaelekea upande wa mnazi mmoja.utakuta njian wamepanga vyombo vingi sasa unazama ndani mkono wa kushoto.maduka kibao ya vyombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom