Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,685
Hatimaye baada ya vipimo/check up niliambiwa ni uvimbe unatokana na kuvizia damu eneo ilo. Sababu kasema ijapo watu wa tatizo wapo Mara kwa Mara ila sababu hasa ya uhakika haijajulikana. Akasema huenda ni ktk utoaji tishu mfu mwilini hususani eneo husika na hapo Ndio zilipojikusanya na kutengeneza huo uvimbe.
Binafsi mwanzoni niliona ni kawaida kutokewa na kale kanaitwa kisekenene(huku kwetu tunaita ivyo) au jina la utani husema aliyetokewa et kamchungulia mkwe(sina uhakika mana hata huyo mkwe sina).
Kajipu haka ka jichoni kwa kawaida huwa kanaondoka kenyewe au kanaiva na kupasuka. Kalivyotoka nilitarajia hivyo ila haka kana wiki ya tatu hakaumi wala kuonyesha dalili ya kuiva wala kupungua wala kuongezeka.
Kuona ivyo ndio nikaenda clinik ya macho na ufumbuzi wake ndio nimeambiwa NATAKIWA KUFANYIWA UPASUAJI KUKAONDOA. GHARAMA 100,000 Na nikaambiwa OGOPA SANA UVIMBE USIOUMA. Nimeandikiwa niende tarehe 27 January. Hapa nawaza tu iyo Operation ijapo nimeambiwa inafanyika kwa nyama ya ndani ivyo kwa nje haitoacha alama yoyote.