Natakiwa kufuata utaratibu upi kuwa na website Tanzania?

El Fuego

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2020
Posts
495
Reaction score
969
Habarini wakuu, Je natakiwa kufuata taratibu zipi kuwa na website? Kuna vibali vyovyote natakiwa kulipia serikalini?
 
kutegemeana na maudhui ya website unayotaka kutumia. kwa matumizi binafsi au kampuni nadhani hakuna vibali au malipo yoyote, isipokuwa kama unatarajiwa kuanzisha website kwa ajili ya habari au maudhui ya namna hiyo utatakiwa kuwa na leseni ambayo utalipia serikalini. wengine watafafanua zaidi
 
Website kwa ajili ya kanisa je inatakiwa kulipia?
 
Unatakiwa uwe na hela..kisha tafuta mtu wa kufanya hiyo kazi yeye atamaliza kila kitu
 
Sawa, je kama website ipo tayari? Serikalini kuna vibali vya kulipia? Endapo ni ndio, je ni vipi?
Kwa site hiyo ya kanisaa hakuna mkuu.kama iko tayr ni kutafuta oating agent kitu hewan fast
 
Shukrani mkuu, website ipo tayari pamoja na domain na host nilikuwa nataka kujua tu kama kuna vibali serikalini.
 
Back
Top Bottom