Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Chang'ombe pale mataaa.muda wowotee.Wadau,
Nimepata dharura natakiwa niondoke jioni hii kwenda Tabora. Nahitaji kujua kituo ambacho nitapata private car au IT na mida husika ili niende Tabora jioni ya leo kesho niwe ofisini kwa mdau then keshokutwa nigeuze.
Naombeni kufahamishwa vijiwe vya kupata magari hayo. Na muda pia
Ipo wapi mpingo house?Mkuu kwa IT nenda mpingo house kwa mbele kuna sheli pale kuna it nyingi
Wenzio wamekula mzinga majuziUkitaka gari za magazeti nistue
Angalia
Usiwe na presha au muoga muoga
Usipande mkuu, wewe ndo utageuka dharura!!Ukitaka gari za magazeti nistue
Angalia
Usiwe na presha au muoga muoga