Seriously yaani madaktari wa Huku wananiambia it's my choice.
Please nisaidieni .mume wangu ananiambia Niamue mimi mwanangu anamiaka 2 .alivyozaliwa nilikataa asifanyiwe circumcision niliogopa infection na maumivu.
Sina raha ushauri Wenu utanisaidia.