Seriously yaani madaktari wa Huku wananiambia it's my choice . Please nisaidieni .mume wangu ananiambia Niamue mimi mwanangu anamiaka 2 .alivyozaliwa nilikataa asifanyiwe circumcision niliogopa infection na maumivu.sina raha ushauri Wenu utanisaidia
Yani kumbe una mtoto na ulivyo empty headed utakuwa umepata mburula aisee!
Mtajijua ukitaka mwache na mkono wa sweta ukitaka mkate na panga its up to you!
Au chukua itafune!
Mungu kanijalia watoto watatu .wa kwanza Ana miaka 12 na wapili 7 na wa Mwisho my baby boyYani kumbe una mtoto na ulivyo empty headed utakuwa umepata mburula aisee!
Mtajijua ukitaka mwache na mkono wa sweta ukitaka mkate na panga its up to you!
Au chukua itafune!
mtoto awe kama baba yake
baba yake si hajatahiriwa?
why umlazimishe mtoto?
mtoto awe kama baba yake
baba yake si hajatahiriwa?
why umlazimishe mtoto?
kulikoni mpaka mda huu hujalala????
Mungu kanijalia watoto watatu .wa kwanza Ana miaka 12 na wapili 7 na wa Mwisho my baby boy
kulikoni mpaka mda huu hujalala????
Mume wangu katahiriwa.ila dr aliniambia nisubiri aamue mwenyewe.ata Dini nasubiri waamue wenyewe.
mtoto awe kama baba yake
baba yake si hajatahiriwa?
why umlazimishe mtoto?
Maumivu naogopa mwanangu jamani.Baba tajiri kumbe ana mkono wa sweta! Uuuuuughhh!!!! No wonder he cooks for you and bring da food to the bed while umelaza mbunye tu iliyofotoa ma-kid mburula watatu tena mikono ya sweta!
Swali la kizushi, hivbi kwa hiyo huwa unapuliza kama pulizo ile mkono wa sweta? Just to share the gossip my dada tajiri.
Maamuzi ya mtoto ni muhimu. Nimeona hapa Europe ndo trend. Mtoto aamue mwenyewe kama anatahiri au la. Infection kutokana na kutahiri ni unlikely kama huduma za kihospitali ziko ok. Sioni tatizo kufanya sasa au mbeleni ikiwa mtoto hatakuwa na tatizo la phimosis.