Natamani abadilishe kidogooo

Unamwambia tu mie hii routine katika kunanihii imenichosha, nataka mavitu mapya ambayo hujawahi kunifanyia ili nipagawe zaidi na kama kuna vitu specific ambavyo ungependa avifanye basi unavipanga kimoja baada ya kingine.
Haya mambo bwana BB sijui kaifokonyoa wapi hii, mambo yamebadilika siku hizi nilifunguka sana baada ya maushauri
 
Mbona kaweza na kawa kama navotaka sasa hivi ni mwendo mdundo, tatizo sio mshamba ila ile routine yake mwanzo nilikuwa naipenda badae ikanichosha
 
Hahahahahaaaa ama kweli kwa sasa namuuliza sana tu
 
Hahahahahaaaa ama kweli kwa sasa namuuliza sana tu

Lkn usijali nimesikia eti Risasi wameicopy na kuipaste ile habari ya Babu Asipilini sasa mi naona umerahisishiwa kazi...Litafute lile gazeti makusudi liweke anapopenda kukaa na ufunue ule Ukurasa..AKISOMA ATAJIULIZA MASWALI YOTE....usiku lazima uone mabadiliko nakwambia....
 
Mbona kaweza na kawa kama navotaka sasa hivi ni mwendo mdundo, tatizo sio mshamba ila ile routine yake mwanzo nilikuwa naipenda badae ikanichosha

kama ni hivyo I envy you,
kama kuna mtu anabadilika at a flick of time,
you are very lucky, pia I wish hizo design mpya zisikuchoshe baada ya muda,

But it is good that you are happy for now

that is if the story was not just to take us for a ride.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…