Natamani angekuwepo mwakilishi wa wanafunzi bungeni

Natamani angekuwepo mwakilishi wa wanafunzi bungeni

7to

New Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Wanafunzi wakitanzania wamekosa fursa yakueleza fikra zao katika serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kutokana na kutokuwepo kwa mwakilishi wa moja kwa moja bungeni. Nadhani ingekuwa jambo la mwingine kama angkiwepo mwakilshi wao.
 
Back
Top Bottom