.......natamani ardhi ipasuke na kunimeza....

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Nikikosea kuzungumza lugha ya Kiingereza sisikitiki wala kuona aibu. Lakini nikikosea kuzungumza kiswahili au lugha ya kabila langu kwa kuzaliwa natamani ardhi ipasuke na kunimeza kwa ajiri ya masikitiko na aibu. Wewe huwa unajisikiaje ukikosea kiingereza?
 
Hata nikikosea, nimejifunza to tolerate fools more gladly, provided this does not encourage them to take up more of my time.
 
sijui kingereza kwa hiyo siwezi kukosea.
 
Pole...endelea kuomba dunia ipasuke, maana tayari hapo ushakosea!
 

Hapo kwenye red vipi?
 
kiingereza huwa sijali kabisa ilimradi wameelewa basi,ila lugha yangu sasa ndo najisikia mtumwa kweli maana adi leo siijui vizuri
ata sijui niazie wapi kuijua aisee
 
@Mlachake & PakaJimmy: Thread inaeleza kuzungumza sio kuandika , mpo hapo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…