Natamani Bunge la Tanzania liwe linaangaliwa kama la Kenya, Fikiria hapa tupo Bar na tunatazama impeachment ya Gachagua mubashara 😂

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sijajua Kwanini kona zote za hii Bar Watu wote tunafuatilia impeachment ya Gachagua mubashara Citizen TV

Natamani akina Babu Tale na Kibajaj wafikie Viwango vya akina Omutata na Sakaya

Ila sijui itakuwa lini maana Zitto Kabwe na Halima Mdee Viwango vilipandaga na kushuka ghafla

Mlale Unono 😀
 
Ilikuwa hivyo, jamaa mmoja akaipiga ban
 
Sijajua Kwanini kona zote za hii Bar Watu wote tunafuatilia impeachment ya Gachagua mubashara Citizen TV

Natamani akina Babu Tale na Kibajaj wafikie Viwango vya akina Omutata na Sakaya

Ila sijui itakuwa lini maana Zitto Kabwe na Halima Mdee Viwango vilipandaga na kushuka ghafla

Mlale Unono 😀
Acha hizo, huko uliko hakuna Bar!
 
Back
Top Bottom