Natamani Bunge la Tanzania liwe linaangaliwa kama la Kenya, Fikiria hapa tupo Bar na tunatazama impeachment ya Gachagua mubashara πŸ˜‚

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sijajua Kwanini kona zote za hii Bar Watu wote tunafuatilia impeachment ya Gachagua mubashara Citizen TV

Natamani akina Babu Tale na Kibajaj wafikie Viwango vya akina Omutata na Sakaya

Ila sijui itakuwa lini maana Zitto Kabwe na Halima Mdee Viwango vilipandaga na kushuka ghafla

Mlale Unono πŸ˜€
 
Ilikuwa hivyo, jamaa mmoja akaipiga ban
 
Acha hizo, huko uliko hakuna Bar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…