Natamani CHADEMA wafanye uchaguzi kila mwaka. Kuna mengi sana yanaendelea chaman hatujui

Natamani CHADEMA wafanye uchaguzi kila mwaka. Kuna mengi sana yanaendelea chaman hatujui

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yani mpaka rahaaa

Tundu Lissu anamwaga dhahaabu, Dk silaaaa anaharibuuu kabisaa

Kulee Lemaa anashtua taifa na wake zao 19 WA wakubwaaa

Yaani natamani kuonana uchaguzi inajirudia kila Mwaka

Naamini. KUNA Siri nyingi sana watuu wamezivumilia ndani ya chama sasa wameamua kumwaga ya moyoni

Haya mambo tukiwapa uchaguzi KILA BAADA ya miaka 5 nahisi wengi watakufa na maumivu kwa yanayoendelea

All the best
 
Back
Top Bottom