Miaka 16 kwenye industries, unatoa hiti songs kwa miaka 16 mfululizo siyo mchezo. Simuoni akikua zaidi ya hapo.Kivipi mdau na mziki bado unamdai
Hata mimi niko miongoni mwa kuzifuatilia hizo conspiracy theories kama ni za kweli..Mzee sidhani kama kuna msanii kwa dunia ya sasa anaweza fika level za MJ.
Na kumbuka enzi zile hakukua na mitandao ya kijamii ila jamaa anatambulika mpaka kesho.
Conspiracy theories kumuhusu bado ziko hai na zinafatiliwa, jamaa hakua wa kawaida aisee.
Enzi hizo tulikua na tofali lenye nyimbo zake 😂😂, kipindi hicho hamna cd, flash wala simu janja achilia mbali memory cardHata mimi niko miongoni mwa kuzifuatilia hizo conspiracy theories kama ni za kweli..
Sema nyimbo zake ninazo asee nazikubaliView attachment 3420882
Ni mbingu na ardhiEeh man..natamani mondi afikie hiyo level
Naunga mkono hojaMzee sidhani kama kuna msanii kwa dunia ya sasa anaweza fika level za MJ.
Na kumbuka enzi zile hakukua na mitandao ya kijamii ila jamaa anatambulika mpaka kesho.
Conspiracy theories kumuhusu bado ziko hai na zinafatiliwa, jamaa hakua wa kawaida aisee.
Daimondi yupo ukingoni awezi kukua tena zaidi atakuwa anashukaLeo nilikuwa natazama documentary moja kumhusu huyu king of pop , nikiri jamaa alikuwa anakubalika. Kuanzia New york hadi Moscow. Au Munich mpaka Tokyo jamaa alikuwa akifika kwenye hayo majiji shughuli zilikuwa zinasimama .
Na hapo ni ametua tu na ndege bado haja perform. kama kuna watu humu wanasema eti jamaa nyimbo zake zilikuwa za kawaida sana, mara sijui ni freemason wamempa umaarufu na conspiracy theories nyingi ilimradi kumchafua .
Ila kwa wanaojua mziki wake huko duniani haswa live concerts Jamaa alikuwa kwenye ligi ya peke yake. Ogopa watu hususani watoto wa kike walikuwa wanazimia tu kwa kumuona , wengine kububujikwa na machozi kama luka wa magogoni.
Itoshe kusema jamaa alikuwa anajua na anaujua mziki. Sasa mimi natamani Mondi afike level za huyu jamaa yaani mfano kama mondi atue pale Arusha ,shughuli zote zisimame na awe na msafara unaomsindikiza tu akitua Airport zisipungue gari 100. Na mfano Watoto wa kike watoroke shule kwenda kumuona. I wish bro Mondi afikie hii level ya Fame.
View attachment 3420869
View attachment 3420872
View attachment 3420870
Kilometres 1,000,000,000,000,000,000,000,000Aisee mbali sana.
Arudishe umri nyuma kidogoDaimondi yupo ukingoni awezi kukua tena zaidi atakuwa anashuka