Natamani hatua hizi zichukuliwe kwa timu yenye hatia katika sakata la Morrison

popie

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Posts
801
Reaction score
577
Hili Sakata la Morrison natamani sana Tena sana yeyote iwe Simba au Yanga atakaekutwa na hatia achukuliwa hatua kali sana.

Yaani kama Yanga imeghushi saini ya Morrison inatakiwa ichukuliwe hatua stahiki hata kama ni kushushwa daraja, na Simba wakikutwa na hatia washushwe daraja ili tuweke heshima ya soka letu mambo ya ubabaishaji yasitokee tena Tanzania.
 
Yaan Simba mabingwa wa FA, Ngao na VPL na Wawakilishi wajae wa Klabu Bingwa Africa washushwe daraja? Unaota wewe.

Actually Simba pia ni Mabingwa wajae wa VPL for next 5 consecutive years,
 
Simba haitakiwi wapewe onyo kwakua wakati Yanga wameiandikia Tff barua ya malalamiko ya mchezajiwao Morrison kurubuniwa na Simba, Simba ilikanusha hadharani kua uo ni uongo hawana mpango na Morrison.
Sasa Leo imegundulika ni kweli Simba walifanya mazungumzo na mchezaji wa Yanga na walimpa kishika uchumba na Mchezaji mwenyewe Morrison alishawahi kulizungumza kua amepewa fedha na Simba akiwa na mkataba na Yanga.
Sasa Tff wanasubiri Nini na Adhabu za makosa ya makusudi zinafahamika. Adhabu ya kosa la makusudi/ kiburi ni kushudhwa madaraja mawili au kufungiwa kusajili sio adhabu ya fain au onyo.
Kwa upuuzi Kama huu Juventus walishushwa daraja na kuanza kwa kunyang'anywa point 6 Seria B. Tunategemea haki itatendeka.
 
Uneducated, kuropoka ka manyani au Mbwa@ Luc voice
 
Kwani hii kesi Simba naye anahusika moja kwa moja?
Kesi iliyopo ni Morrison kuishtaki yanga wameforge signature basi.
 
Yan haitokuja itokeee et TFf waishushe daraja simba au yanga hio kitu sahau sio kwa bongo labda ingekuwa ulaya....sasa apo labda Morrison atimuliwe nchini.
 
Hili Sakata la Morrison natamani sana Tena sana yeyote iwe Simba au Yanga atakaekutwa na hatia achukuliwa hatua kali sana.

Yaani kama Yanga imeghushi saini ya Morrison inatakiwa ichukuliwe hatua stahiki hata kama ni kushushwa daraja, na Simba wakikutwa na hatia washushwe daraja ili tuweke heshima ya soka letu mambo ya ubabaishaji yasitokee tena Tanzania.

Wakushushwa daraja yanga waliomchezesha morisson kama itabainika yanga wameghushi saini na mkataba wa morisson
Simba ashushwe daraja kwa lipi, kwani alichezea simba kwenye ligi ya msimu ulioisha...

Sheria na kanuni zao walizojiwekea zipo kwa mujibu wa sheria, club itakayo onekana imeghushi saini yoyote ile iwe Simba au yanga sheria ichukue mkondo wake bila kupindisha sheria au kanuni.
 
Morrison huyu ndie aliyesema simba wamempa fedha ili ajiunge nao, simba waka kanusha. Baada ya muda GSM wakasema Morrison anaomba mkataba wake Mpya wa miaka miwili alio ingia na Yanga usitishwe kwakua amepata timu yenye maslai makubwa. GSM wakamwambia awalete wanaotaka kumsajili ili wafanye mazungumzo mezani.
Baadae akaanza vituko ili yanga wamfukuze ikashindikana, Baadae akaja na jipya akidai yeye hajasaini mkataba Mpya na Yanga yeye ni huru. Alikua hajui kwamba ule mkataba wake Mpya ulisha sajiliwa Tff na kwenye TMS system. Simba nao wanadai wananamkataba na Morrison sasa sijui nawao wataenda ku usajili Tff na TMS au wataufungia maandazi. Hakika Mbumbumbu wana la kujifunza.
 
Wacha kubweka kama mbwa...kiongozi gani wa simba katangaza morison ni mchezaji halali na ana mkataba na simba? TFF haiangalii media zina post nini, wanaangalia documentation..sasa uliza kama TFF wamepokea mkataba wa morison kusajiliwa simba..
Kesi kubwa ni Nyani FC kugushi sign na mkataba..dirisha la usajil lilifungwa tareh 15, morison alikuja nchin tarehe 17..hapo ndo inatafutwa janja janja ya Nyani Fc
 
Hata kama Morrison alikuja tarehe 17 wakati dirisha limefungwa tarehe 15 Bado Yanga hawana tatizo kwakua pamoja na kuchelewa kwao Yanga Tff wali idhinishiwa Mkataba uo. Tff ndio wanao idhinisha ukamilifu wa usajili na leseni ya Mchezaji. Kama Tff waliusajili mkataba na kumpa leseni acheze basi uyo mchezaji wali mhalalisha.kama Tff wangeona kuna tatizo inamaana wasingempa leseni ya kukipiga nchini.
 
Alafu kama ishu wanayo simamia Simba kwa sasa sio ukweli wa sahihi tena ni kusajiliwa kwa mkataba wa miezi 6 kwamba dirisha lilifungwa tarehe 15 mchezaji aliwasili tarehe 17 ivi ni jambo la kushangaza kwa karne hii ya 21? Tujiulize wale wachezaji wanao sajiliwa duniani masaa machache kabla ya usajili kufungwa inakuaje? Kweli mwalimu mzima wa Madrassa Haji Manara hajui kwamba kuna fax na njia nyingi za kurahisisha vitu vidogovidogo kama hivyo. Yaani akili za mbumbumbu fc inafikiri bado Tupo kwenye ulimwengu wa kutuma barua kwa stemp.
 
Hili Sakata la Morrison natamani sana Tena sana yeyote iwe Simba au Yanga atakaekutwa na hatia achukuliwa hatua kali sana.

Yaani kama Yanga imeghushi saini ya Morrison inatakiwa ichukuliwe hatua stahiki hata kama ni kushushwa daraja, na Simba wakikutwa na hatia washushwe daraja ili tuweke heshima ya soka letu mambo ya ubabaishaji yasitokee tena Tanzania.
Kwanza hilo ni shauri kati ya Yanga vs Morisson, Simba hawahusiki kabisa.

Kwa system ya FIFA ya usajili Klabu ya Simba haijaingiziwa mkataba wake na Morisson, hivyo Simba haitambuliwi kuwa ina mkataba na Morisson.
 
Kwani kedi iliyoko TFF ni Simba na Yanga au Yanga na Morrison
 
Back
Top Bottom