Yaan Simba mabingwa wa FA, Ngao na VPL na Wawakilishi wajae wa Klabu Bingwa Africa washushwe daraja? Unaota wewe.Hili Sakata la Morrison natamani sana Tena sana yeyote iwe Simba au Yanga atakaekutwa na hatia achukuliwa hatua kali sana.
Yaani kama Yanga imeghushi saini ya Morrison inatakiwa ichukuliwe hatua stahiki hata kama ni kushushwa daraja, na Simba wakikutwa na hatia washushwe daraja ili tuweke heshima ya soka letu mambo ya ubabaishaji yasitokee tena Tanzania.
Uneducated, kuropoka ka manyani au Mbwa@ Luc voiceSimba haitakiwi wapewe onyo kwakua wakati Yanga wameiandikia Tff barua ya malalamiko ya mchezajiwao Morrison kurubuniwa na Simba, Simba ilikanusha hadharani kua uo ni uongo hawana mpango na Morrison.
Sasa Leo imegundulika ni kweli Simba walifanya mazungumzo na mchezaji wa Yanga na walimpa kishika uchumba na Mchezaji mwenyewe Morrison alishawahi kulizungumza kua amepewa fedha na Simba akiwa na mkataba na Yanga.
Sasa Tff wanasubiri Nini na Adhabu za makosa ya makusudi zinafahamika. Adhabu ya kosa la makusudi/ kiburi ni kushudhwa madaraja mawili au kufungiwa kusajili sio adhabu ya fain au onyo.
Kwa upuuzi Kama huu Juventus walishushwa daraja na kuanza kwa kunyang'anywa point 6 Seria B. Tunategemea haki itatendeka.
Hili Sakata la Morrison natamani sana Tena sana yeyote iwe Simba au Yanga atakaekutwa na hatia achukuliwa hatua kali sana.
Yaani kama Yanga imeghushi saini ya Morrison inatakiwa ichukuliwe hatua stahiki hata kama ni kushushwa daraja, na Simba wakikutwa na hatia washushwe daraja ili tuweke heshima ya soka letu mambo ya ubabaishaji yasitokee tena Tanzania.
Wacha kubweka kama mbwa...kiongozi gani wa simba katangaza morison ni mchezaji halali na ana mkataba na simba? TFF haiangalii media zina post nini, wanaangalia documentation..sasa uliza kama TFF wamepokea mkataba wa morison kusajiliwa simba..Morrison huyu ndie aliyesema simba wamempa fedha ili ajiunge nao, simba waka kanusha. Baada ya muda GSM wakasema Morrison anaomba mkataba wake Mpya wa miaka miwili alio ingia na Yanga usitishwe kwakua amepata timu yenye maslai makubwa. GSM wakamwambia awalete wanaotaka kumsajili ili wafanye mazungumzo mezani.
Baadae akaanza vituko ili yanga wamfukuze ikashindikana, Baadae akaja na jipya akidai yeye hajasaini mkataba Mpya na Yanga yeye ni huru. Alikua hajui kwamba ule mkataba wake Mpya ulisha sajiliwa Tff na kwenye TMS system. Simba nao wanadai wananamkataba na Morrison sasa sijui nawao wataenda ku usajili Tff na TMS au wataufungia maandazi. Hakika Mbumbumbu wana la kujifunza.
Kwanza hilo ni shauri kati ya Yanga vs Morisson, Simba hawahusiki kabisa.Hili Sakata la Morrison natamani sana Tena sana yeyote iwe Simba au Yanga atakaekutwa na hatia achukuliwa hatua kali sana.