ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha.
Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete miaka tele anapona au namuona kabisa mtu alikuwa tee, njaaa mara anaonesha funguo ya Subaru mbele pale na hati ya kiwanja au picha za nyumba, lakini karibu kila wanayofanya hivyo siwajui hapo ndio shida inapoanza sasa.