Kuna mwana alishinda Mil 10 namjua. Baada ya week jamaa tuliendelea kua nae tunaunga unga tu. Ukimuhoji anakua mkali.Ni kama vile wanaoshinda bingo, kuna unayemfahamu?
Hutakuja kupata mtu unayemjua kuwa ni kiwete toka anazaliwa au alipata tatizo kwenye ukuwaji wake, kwamba ameombewa hadi akatembeaNaomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha.
Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete miaka tele anapona au namuona kabisa mtu alikuwa tee, njaaa mara anaonesha funguo ya Subaru mbele pale na hati ya kiwanja au picha za nyumba, lakini karibu kila wanayofanya hivyo siwajui hapo ndio shida inapoanza sasa.
Kwa Mungu yote yawezekana japo kwa manabii fake ni biasharaHutakuja kupata mtu unayemjua kuwa ni kiwete toka anazaliwa au alipata tatizo kwenye ukuwaji wake, kwamba ameombewa hadi akatembea
Tunazungumzia manabiiKwa Mungu yote yawezekana japo kwa manabii fake ni biashara
Ukimpata unitag mkuuNaomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha.
Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete miaka tele anapona au namuona kabisa mtu alikuwa tee, njaaa mara anaonesha funguo ya Subaru mbele pale na hati ya kiwanja au picha za nyumba, lakini karibu kila wanayofanya hivyo siwajui hapo ndio shida inapoanza sasa.
Vipi wewe ulishapona na yale mafuta ya mwamposa?Ipo siku yatakukuta mwenyewe ndo utaamini
Nimecheka hapaNi kama vile wanaoshinda bingo, kuna unayemfahamu?
Mtoa uzi pitia humu for more [emoji115][emoji115]Tuwe wakweli; kama umewahi kufanyiwa ama kushuhudia miujiza tukutane hapa
Ikiwa ni weeknd na kesho ikiwa ni jumapili kila mtu hukimbilia kanisani kwa manabii wanaowakubali. Nimeweka hii thread mahususi kwa wote ambao wamewahi kufanyiwa miujiza ama kushuhudia miujiza ikifanyika kwa watu wao wa karibu. Yani mtu unamjua kabsa anachangamoto flani anaenda akaombewa na...www.jamiiforums.com
Nasikitika kama utaweza mwona unamjua.. Maana nasisi tumeijua technologia...tunatafuta watu vijijini tunawapa mshiko, na kuwapa script za ushuhuda wa uongo.. Tunawachukua video na kwa technological ya green screen tunaedit tunairusha kwa TV... Wajina wanaona jamaa anatoabshuhuda madhabahuni... Ila ukija kanisani uamtafute humwoni... Yuko kyela.. Songwe huko vijini anajilia ndizi🤣🤣🤣Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha.
Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete miaka tele anapona au namuona kabisa mtu alikuwa tee, njaaa mara anaonesha funguo ya Subaru mbele pale na hati ya kiwanja au picha za nyumba, lakini karibu kila wanayofanya hivyo siwajui hapo ndio shida inapoanza sasa.
Ni kama vile wanaoshinda bingo, kuna unayemfahamu?
sijawahi kwenda kwa mwamposaVipi wewe ulishapona na yale mafuta ya mwamposa?