Natamani jf tuishi kama hivi

Natamani jf tuishi kama hivi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
All the best for the better jf familly
 
Hav a nice life all
 
Ng'oeni mafisadi itawezekana

WALIO MADARAKANI WANASEMA WAMEKATA UCHUMI WA NCHI SIE WA KEYBOARD TUTAWANGO'A MMHHHHHH
KAZI KWELI KWELI
 
Even beggers wish the same! probably. . . . .
 
Yes, tuache kutumia muda mwingi kwenye mtandao tuchape kazi!
 
Yes, tuache kutumia muda mwingi kwenye mtandao tuchape kazi!
wewe low sana....

......arrg mashori wanamfagilia sana obama..why? shori mmoja siku hizi nae kaanza kuangalia cnn
 
3484831226_1030f79bcc.jpg

obama_100days_12.jpg

3484868454_30c937d0ed.jpg
 
Last edited:
hivi unathubutu kusema una wish JF tunge ishi hivi? bibi/babu yako huko kijijini wanatembea peku kwa kukosa kandambili,halafu we unaweka tundiko lako la hanasa,kwa nn ukuweka picha za ndugu zetu wenye maisha magumu then ukauliza tuwasaidieje? Watz bw kwakupenda vitu tusivyo kuwa na uwezo navyo kaazi kweli kweli.
 
Kwa nini wewe usi bandike hizo picha za ndugu zetu wenye maisha magumu mkuu?
 
Back
Top Bottom