Natamani kuacha hii tabia lakin nashindwa naomba ushauri doctor

pokea like yangu gfsonwin isngekuwa natumia simu ningekugongea 100. You real deserve it. Nirud kwa dada. Kwanza soma kwa makini post ya gfsonwin pili, Kama upo jiji la dar nenda chuo cha ustawi wa jamii, naamin pale wapo wanasaikolojia watakusaidia
 
Last edited by a moderator:
pokea like yangu gfsonwin isngekuwa natumia simu ningekugongea 100. You real deserve it. Nirud kwa dada. Kwanza soma kwa makini post ya gfsonwin pili, Kama upo jiji la dar nenda chuo cha ustawi wa jamii, naamin pale wapo wanasaikolojia watakusaidia. Pole na hongera kuamua kubadilika.
 
Last edited by a moderator:

jaribu kuanzisha uhusiano na mwanaume uone kama hali itakuwaje-hata kama huwapend wanaume-inabid ujiforce tu kuwa nao-ukimpata mwanaume anaweza kukutoa kwenye hali ulionayo
 
prisila noma saga sagana sa mbona uko kimnya unatutisha wenzio.
 
Prisila puuzia wote wanaokukatasha tamaa na muheshimu mtu anayekupa moyo na kukutia nguvu na anayekuona kuwa umekuwa shupavu kutafuta jibu.

Pamoja na yote ni meku PM ... We will fix it!!

Its just a matter of knowing how to play psychological game, especial the emotional intelligence!

Sooon, very soon you will be ok!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

pokea like yangu gfsonwin isngekuwa natumia simu ningekugongea 100. You real deserve it. Nirud kwa dada. Kwanza soma kwa makini post ya gfsonwin pili, Kama upo jiji la dar nenda chuo cha ustawi wa jamii, naamin pale wapo wanasaikolojia watakusaidia
.
gfsonwin na Mapi I am great full for being so soulfully to Prisila

Ni hakika watoto wengi wanapo kataliwa na wazizi au marafiki kama inavyotokea prisila kufanyiwa mzaha hapa ni moja ya sababu inayochangia kwa watoto kujikuta kwenye same sex fiction!

Kuwakubali na kuwapa moyo wa kubadilika kama alivyofanya gfson ni moja ya mbinu ya kuwapa mapenzi ya kweli yanayomyoosha na kumfanya muathirika mtu kamili tena ... So watch out guys!!!
 
Last edited by a moderator:
Azimio Jipya, thanks for nice compliments, however ningependa kuwausia wale wanaotuma thread za kuomba ushaur kuwa siyo wana jf wote ni watu wanaoweza kushauri. Kama umeangalia kwa makini utagundua wapo ambao waao ni watu wa dhihaka tu na kashfa pasi kufikiri upande wa pili wa tatizo.

Wapo ambao ni washauri wazuri sana so wanaposhauriwa wasome huku wakipembua chuy na mchele. But inaumiza sana pale unapotegemea watu kukupa ushauri unakutana na dhihaka kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:


@Gfsonwin nimeupenda sana mchango wako katika kumsaidia huyu mwenzetu. Yeye kishagundua kama ana tatizo kubwa sana mpaka akaamua kulileta hapa ili watu wamsaidie katika ushauri ili aachane na tabia hii ambayo inamnyima raha, sikupenda pale ambapo wengine badala ya kumpa ushauri wa kumsaidia wakaanza kumzodoa. Tatizo alilo nalo ni kubwa sana lakini akifuata ushauri na kufanya maombi kwa juhudi kubwa basi anaweza kabisa kuachana nalo. Kila la heri Prisila

 
Njia rahisi ni kuanza kumshirikisha mwanamme mfanyapo mapenzi na wanawake wenzio (3 some). Najitolea kuja kukuzowesha wanaume taratibu.
 

thanks BAK nawe pia waweza kuongezea niliyosahau, na pia nimefurah kuon akuwa umeichukia tabia ya wanao dhihaki
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Ndio mara ya kwanza masikia lesbian anatamani kuacha tabia yake. Ungekuwa mwanaume ningesema categoricaly acha kabisa tabia hiyo. Hii lesbianism sijawahi kuifikiriala lakini it seems to me it is no crime;it is neither criminal nor irreligious,unless utasema unataka kufunga ndoa na mwanamke mwenzako,that would indeed be eyebrow raising.
 
pole sana...
Kwavile umetambua tatizo lako... Jizuie mara hali itakapokuja, kwa sala na maombi utafanikiwa
 
Step 1 - acha kuangalia filamu za ngono

itaendelea...............
 
Nadhani watu mmezidi kuwahukumu wezenu, hasa kwa wa Kristo,kumbukeni hakuna dhambi ndogo wala kubwa.
Pricilla kasema anataka kuacha, hebu mpeni ushauri unaofaa. Si wote walio homosexuals wamependa kuwa ivyo, naomba muwe waelewa.

Kwa Priscilla, nadhani, ukienda Muhimbili kitengo cha afye ya akili utapata msaada wa kuonana na psychologist. nadhani huu msaada pia hautoshi, kuachana na tabia yoyote sio rahisi, alcoholic anonymous( walevi wanaotakuacha) wanaamini kuwa kuna a supernatural power inaweza kuwasaidia kuacha(Mungu). nadhani ukifuata steps zao kidogo kwa kiasi fulani zinaweza kukusaidia, si lazima ufuate zote.


Mungu akusaidie,nammini kaona kiu yako
 
Kwanza kabisa nakupa pole kwa hali hiyo. Nakushauri kama wewe ni muumini wa Bwana wangu Yesu Kristo, piga magoti kwake ili umuombe msamaha na zaidi sana mweleze juu ya hali yako na umuombe akuongoze kushinda hiyo tamaa. Ubarikiwe

Angekuwa muumini wa Yesu Kristo asingekuwa na kiu ya kufanya hivyo. Jina la Yesu lina uweza wa kukata hiyo kiu. Aokoke tatizo lake litakwisha.
 
Mkimbilie Bwana Yesu, Yeye ni kiboko wa mapepo ya aina yote pamoja na hayo. Hiyo ni tabia iliyokuingia kupitia pepo la tamaa ya mwili/ngono ya jinsia moja. Ukichelewa utashangaa utakamata hata vibinti vidogo bila ridhaa yako na hatimaye utaishia jela. Shughulikia mapema hilo tatizo. Kimbilia kwa Yesu, okoka, na uombewe. Ushauri mwingine humu ndani dada yangu ni siasa tu na hautakusaidia.
 
weka maamuzi ya kuachana na hiyo tabia,na ujiweke mbali na kila kishawishi kinachokupelekea kufanya tendo la ajabu kama hilo wakiwemo marafiki zako na mitandao ya sexe,tafuta vitu mbadala vitakavyokusaidia mda utakao kuwa mbali na marafiki zako,kama kufanya mazoezi,kusoma vitu unavyopenda(na vizuri yasiwe magazeti ya udaku)na tafuta mwanaume wa kweli ujenge nae mahusiano ya kimapenzi na akuowe atakutunza,usidanganyike na usharobaro,tafuta dume la kweli litakusahaulisha kujamiiana na wanawake wenzako,fanya hayo utafanikiwa.
 
Pole sana nimekosa la kusema ila mungu akusaidie
 
Tafuta mwanaume awe ana ku-do kila unapojisikia hamu na mwanamke mwenzio itakusaidia kuachana na hiyo tabia,otherwise ni-pm nikuelekeze vizuri what you can do to stop this behaviour.
 
Kwanza wewe ni "mwanaume" au "mwanamke". Halafu Uache ili iweje sasa? Mchezo mzuri huo endelea nao kwanza hauwezi kupata ngoma ni kwa raha zenu.

Endelea mwanakwetu anayekushauri uuache hakutakii mema. Ukitaka mtoto unafanya ARTIFICIAL INSEMINATION lakini mkono wa dokta shurti uingiye mkunduni kabla ya kuwekewa sh@h@w@. Utakubali hiyo? Kama hutaki mtoto na haukotayari mkono kuingia nyuma yako basi endelea kwa raha zako mwanakwetu.

Bazazi ni Bazazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…