Natamani kufahamu hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa wakala wa kampuni za betting

Natamani kufahamu hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa wakala wa kampuni za betting

chama mpangala

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
549
Reaction score
841
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na hizo.
Naomba Mwenye uzoefu au aliyefungua Ofisi anisaidie hatua za kufuata niweze kufungua Ofisi Mkoani.

Nimewaza sana nimeona hii ni fursa nzuri sana ukifungua Ofisi maeneo yenye Vijana wengi. Ofisini panakuwa na ukumbi mdogo tu wenye Tv zako kadhaa unaonesha mpira Bure kuvutia wateja, pembeni ya Ofisi unafungua Duka la vinywaji Bariadi na kijiwe cha chips. Au kijimgahawa tu.
Naomba kuwasilisha.
 
Mie ndio niko kwenye mada. Nishafika mpaka jikoni. Napajua kukoje ndio maana naongea.
Nimeuliza hatua za kufuata ishu ya kufaham MTAJI wangu kiasi gani itakuwa hujanielewa. Naitaji kufaham. Hatua za kufuata kuwa WAKALA.
 
Back
Top Bottom