chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 549
- 841
Ameuliza hatua za kufuata ili uwe wakala na siyo kiasi cha mtaji wa kuanzisha.Una mtaji wa sh ngapi?
vijana mpaka waseme!pembeni ya Ofisi unafungua Duka la vinywaji Bariadi na kijiwe cha chips. Au kijimgahawa tu.
Naomba kuwasilisha.
Mtaji ni sehemu ya hatua. Kuwa na mtaji ni kupiga hatua.Ameuliza hatua za kufuata ili uwe wakala na siyo kiasi cha mtaji wa kuanzisha.
Acha ubishi,kubali uko nje ya mada.Mtaji ni sehemu ya hatua. Kuwa na mtaji ni kupiga hatua.
Ameuliza hatua za kuchukuwa na siyo mtaji.Mtaji ni sehemu ya hatua. Kuwa na mtaji ni kupiga hatua.
Mie ndio niko kwenye mada. Nishafika mpaka jikoni. Napajua kukoje ndio maana naongea.Acha ubishi,kubali uko nje ya mada.
Vinywaji baridi πππvijana mpaka waseme!
#vinywaji bariadi
Nimeuliza hatua za kufuata ishu ya kufaham MTAJI wangu kiasi gani itakuwa hujanielewa. Naitaji kufaham. Hatua za kufuata kuwa WAKALA.Mie ndio niko kwenye mada. Nishafika mpaka jikoni. Napajua kukoje ndio maana naongea.
Fika ofisi ya kampuni husika. Meridianbet na Mbet wako Upanga DSM.Nimeuliza hatua za kufuata ishu ya kufaham MTAJI wangu kiasi gani itakuwa hujanielewa. Naitaji kufaham. Hatua za kufuata kuwa WAKALA.
Ahsante kwa ushauri nitafanyia kaziFika ofisi ya kampuni husika. Meridianbet na Mbet wako Upanga DSM.