moyo wenye aman i
Senior Member
- Nov 12, 2019
- 177
- 297
Katika pitapita zangu nikasikia watu waliokuwa wamekaa kijiweni wakimsifia Jaji aliyekuwa anaitwa LUGAKINGIRA kuwa alikuwa akisimama kidete kwenye nafasi yake bila kufuata maagizo au kuegemea upande wowote.
Naomba mwenye CV yake atuwekee hapa tafadhali
Naomba mwenye CV yake atuwekee hapa tafadhali