moyo wenye aman i
Senior Member
- Nov 12, 2019
- 177
- 297
Hata Jaji Lugakingira alikuwa anatokea Wilaya ya Bukoba(V),Mkoa wa Kagera.Hata mimi nilidhani ni yule mhaini kutokea Bukoba!
Siyo Thomas ni Pius Lugakingira...kurekebisha heading yako, andika JAJI Lugakingira.
..kuna Thomas Lugakingira alikuwa kiongozi wa wahaini waliotaka kumpindua Nyerere miaka ya 80.
Siyo Thomas ni Pius Lugakingira.
Sio mhaini bali alikuwa freedom fighterHata mimi nilidhani ni yule mhaini kutokea Bukoba!
Alikuwa na mtoto wake nimesoma naye shule ya msingi oysterbay alikuwa anaitwa Mtabazi LugakingiraKatika pitapita zangu nikasikia watu waliokuwa wamekaa kijiweni wakimsifia Jaji aliyekuwa anaitwa LUGAKINGIRA kuwa alikuwa akisimama kidete kwenye nafasi yake bila kufuata maagizo au kuegemea upande wowote.
Naomba mwenye CV yake atuwekee hapa tafadhali