Natamani kufuturu na mmu member

Natamani kufuturu na mmu member

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
Jamani wapendwa mwezi mtukufu ndo umeisha bahati mbaya sijapata hata ka mwaliko kamoja ka futari hata ka uji jamani.why meee
 
Futari kwa maana ya futari na uji ninaouelewaa au unamaana nyingine?
 
Jamani wapendwa mwezi mtukufu ndo umeisha bahati mbaya sijapata hata ka mwaliko kamoja ka futari hata ka uji jamani.why meee?
<br />
<br />
babii mm nakualika idd inshaallah!
 
Jamani wapendwa mwezi mtukufu ndo umeisha bahati mbaya sijapata hata ka mwaliko kamoja ka futari hata ka uji jamani.why meee?
Wewe umemualika nani? Mimi sikualikwa na mtu yeyote nikataka nianze lawama, lakini nilipokumbuka kwamba namimi sikumualika mtu yeyote imenibidi nikae kimya. na mbaya zaidi nilihisi nitamkwaza mtu maana mimi huwa nafuturu futari ya Kitimoto
 
wewe umemualika nani? Mimi sikualikwa na mtu yeyote nikataka nianze lawama, lakini nilipokumbuka kwamba namimi sikumualika mtu yeyote imenibidi nikae kimya. Na mbaya zaidi nilihisi nitamkwaza mtu maana mimi huwa nafuturu futari ya kitimoto
hata iyo inanifwaa
 
Wenzenu wabunge wa zenji leo wamemfuturia Tundu Lissu mapema asubuhi sijajui kama kitabu chao kitakatifu kina ruhusu. Ila sijajua kama wametumia uji au ugali
 
bebii mi hata nikikualika sidhani kama utakuja. Nipo huku "IPONDAMAFULELA".....huwa tunafuturu uji wa mihama na pipi! Kama unaweza njoo.
 
Back
Top Bottom