Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta mtu anashabikia AzamWakuu, mie nina miongo sita na ushee hivi.
Natamani niichezee Azam FC japo kwa kupewa posho tu kwa jinsi hali inavoonekana. Si ajabu hata nne bora tutakosa maana Ihefu (wanaojielewa sasa) wanakuja juu.
Inasikitisha.
Azam hawezi kukosa nne bora kwasababu ana alama 47 na anayemfatia ana alama 34 zikiwa zimebaki mechi tano. Azam anahitaji tu point 3.Wakuu, mie nina miongo sita na ushee hivi.
Natamani niichezee Azam FC japo kwa kupewa posho tu kwa jinsi hali inavoonekana. Si ajabu hata nne bora tutakosa maana Ihefu (wanaojielewa sasa) wanakuja juu.
Inasikitisha.
Umesema point sana mkuuHii timu inatitesa watu tuliokataa kurithi,mambo ya alilinunua babu mpaka mjukuu anamtumia,Azam fc kila kitu kipo lakini ni mtoto wa kishua anatamani kula Ugali na kachumbali.....bwana Yusuph sijuia kama yuko serious na mafanikio ya timu maana kama wanataka mafanikio makubwa wavunje benchi zima la ufundi pamoja na viongozi wote kina Popat, alete wazungu au wageni wasio na chembe ya ukariakoo na Kocha mwenye daraja la juu kama kina Ibenge. Hapo mpaka robo fainali ya Caf na kubeba Nbc premier league na kizazi chote cha 2000 kushabikia Azam fc.
Nadhani itasaidia. Angalia sasa mtu anakuwa mchezaji halafu kocha msaidizi hii inaelekea kukabidhiwa timu siku zijazo.Hii timu inatitesa watu tuliokataa kurithi,mambo ya alilinunua babu mpaka mjukuu anamtumia,Azam fc kila kitu kipo lakini ni mtoto wa kishua anatamani kula Ugali na kachumbali.....bwana Yusuph sijuia kama yuko serious na mafanikio ya timu maana kama wanataka mafanikio makubwa wavunje benchi zima la ufundi pamoja na viongozi wote kina Popat, alete wazungu au wageni wasio na chembe ya ukariakoo na Kocha mwenye daraja la juu kama kina Ibenge. Hapo mpaka robo fainali ya Caf na kubeba Nbc premier league na kizazi chote cha 2000 kushabikia Azam fc.
Inawezekana kuna shida kubwa ndani ya hii timu....maana sio kawaida kabisa.Tatu hapo hakuna. Hiyo nne ni manusura tu. Ngoja tuone.
Hili litakuwa tatizo la kiuongozi kwa maana wapo viongozi Simba na Yanga sasa wanatunishiana nguzu.Inawezekana kuna shida kubwa ndani ya hii timu....maana sio kawaida kabisa.
Angalia mechi kubwa na ngumu dhidi ya Simba na Yanga timu inapambana sana,lakini mechi na timu zingine wanacheza kama Wagonjwa kabisa....inawezekana ndani kuna uswahili unaendelea haiwezekani timu iitwe tajiri halafu ifanye madudu ya hivi.