babuumzuri
Member
- Sep 18, 2020
- 14
- 7
Habari zenu wadau,
Kuna technology mbalimbali hasa technology ya kuunda internet, technology kurusha kombora na rocket kupitia computer pia technology ya kuunda satelite na kuirusha angani.
Natamani na mimi kuwa miongoni mwa hao wenye ujuzi wa kuwa na hiyo technology ya kurusha ivo vitu na kuunda satelite,,
Naombeni mnisaidie kuniambia hao wenye huo ujuzi wamesoma course gani? Na je, iyo course inapatikana kwenye vyuo vyetu hapa nchini?? Na ni chuo gani kinatoa elimu bora kwa hiyo course hapa nchini?
Shukrani! naomba msaada wenu.