Natamani kujifunza digital skills hasa katika sekta ya Programming

Kisasa_rob

New Member
Joined
Oct 1, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Habari zenu, natumaini ni wazima wote? Natamani sana kujifunza digital skills hasa programming kutengenez systems, websites, apps n.k ila nakosa mentors wakunipa guide naishia youtube n skillshare tu msaada please, nitashukuru sana sana...namba zangu 0693307877
 
Unataka labda kusaidiwaje isije kuwa unataka usaidiwe $$$$$
 
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
 
Anza hapa, hizi ni bure kutoka Open University, na unapewa kacheti kazuri tu ukimaliza, soma ili uwelewe mwenyewe, ndio elimu ya kikubwa,........... Open University
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…