Natamani kujiua

kuna watu na viatu huku duniani......Mungu akusamehe kwa kutumia uzuri wako vibaya. uzuri uko machoni mwa mtu anayekuangalia,waweza jiona mzuri kumbe yeye anamuona mkewe mzuri mara 100 yako.....tulizana tu na utubu,utapata akufaaye. Acha kabisa ligi na mke wa mtu.
 
Analeta ligi kwenye ndoa ya mtu wakati yeye hajaolewa
 
Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi. Ila kumbukeni kuwa huyu mwanaume ni muislamu kwa hiyo nilijua fika kuwa atanioa. Na mara kwa mara alikuwa anaamia kwangu na kukaa hata siku mbili hivyo niliona kama hamna jinsi ya yeye kunitema. Nitajitahidi kumsahau.
 
Ivi nyie wanawake ni nani aliyewadanganya kuwa uzuri au figure ndio inatangaza ndo wakati huna "mnato"?

Kwa taarifa yenu MNATO tu ndo kigezo cha ndoa.

Wewe mdada Kimada kifupi hauna MNATO na pengine sio msafi, we endelea kuringa na figure.
 


Kweli, anaweza akawa na fig 8 lakini ananuka mdomo.
 
Unajieleza kuwa wewe mrembo,then unajiita kimada..utaendelea kuwa kimada,badili jina hilo
 
...hovyo kabisa huyo! bora ajiue tukamzike.
 
""Mimi mkewe nilikuwa nimeshamjua. Ni mdada msomi na ana kazi nzuri sana ila ni wa kawaida na aniingii hata nusu kwa uzuri kwa hiyo nilijua tu kuwa mumewe atakuwa ananipenda mimi zaidi na labda kuna siku nitakuwa mke wa pili kwani ni muislamu.""

kwa akili hiyo wanaume watawa2mia kwa sana tu, nani alikuambia kigezo cha kuolewa ni mwanamke kuwa mzuri peke yake? wengine ni wa kawaida kabisa nadhani bac tucngeolewa, pweeehhh wacha wawatumie tu wakiwachoka ndio kama hivyo tena, halafu umezungumzia ishu ya kwamba tunawaloga waume zetu?....yaani wanawake wengine wa ajabu kweli.
 

Kwani kila muislamu ameoa/ataoa wake wawili???? na aliekuambia kuwa akihamia kwako ndio dalili za kuolewa ni nani??? alikuwa anahamia ili ale namba 8 akichoka anarudi kwa mkewe kula namba nyingine.
 

pole,
wanaume tuna mbinu nyingi za kufanikisha mahitaji yetu,
kulala kwako siku 2 si hoja kimada!!!!!!
hwezi jua, labda mkewe alikuwa amesafiri kikazi?
mwisho wa siku mke atabaki kuwa mke, na kimada ataendelea kuwa kimada!!!!!!!!!
 
Mungu aturehemu tu, hii dunia ni ya ajabu sana. Kuna kitu nimejifunza kuliko kuwa na mume wa mtu afadhali mara mia saba ukawa tu peke yako. Mume wa mtu atakutumia tu na kukupotezea muda wako. Mume wa mtu atakutumia pale yeye atakapo kuwa na haja na muda wa kumtoroka mke wake. Huna uhuru na mume wa mtu, akikujaa moyoni utakuwa unasumbuka tu, wakati unatamani kumuona yy atakuwa kwa mke wake, wakati unataka kumsikia huthubutu kupiga hadi uhakikishe muda huo hayupo kwa mkewe. Dah tulia wakati utaamua.
 


Nyamayao we unahaki ya kuolewa,,uko poa sana pale kati.
 


hebu mweleze bana huyu mwanamke mwenzio,
nadhani amesahau ujumbe wa hii signature yako: IT TAKES A SEC TO SAY I LOVE U, BUT A LIFETIME TO SHOW IT......
 
Duh!mambo mengine yanachekesha.mume wa mtu na ukimwi huu unamngangania! Nakuombea upate mwume wako peke yako akuweke ndani,halafu siku moja na wewe uchukuliwe mumeo na kimada halafu u experience hiyo pain kuchukuliwa mume. Acha ujinga we dada unajisikiaje kuitwa nyumba ndogo ktk jamii?au kunyooshewa vidole unatembea na mume wa m2?huoni unajishushia heshima?funguka acha uzezeta,tafuta wako hata kama hana hela na gari jama huyo hawara yako,ilimrad ni wako peke yako,manake nyie warembo mnachagua sana,kama cio handsome basi hela,na ndio maana mnaojisikia wazuri hamuolewi mnaishia kumegwa tu mnakuja kushtuka kumekucha,angalha sana,na huo umri wako tafuta hata ordinary man.
 


LD, kuna wanawake wenzako ambao wanajua jinsi ya kuucheza huu mziki,
wa kuwa na mume wa mtu, na huwaambii kitu kuhusu waume za watu,
na siku zote huwa hawakosei hesabu!wako makini mpaka wanapitiliza...................
kwani mwisho wa siku wakiidhoofisha ndoa ya mzee, basi wanajua hata kwao mambo yatakuwa ovyo,
uimara wa ndoa ya mzee, ndo unawafanya na wao wafurahie mahusiano yao na waume za watu!!!!
 

Ana umbo namba 8
Ana miaka 32 hajaolewa
Ni mzuri
Ana kazi
Hajawahi tembea na mume wa mtu kabla ya huyo...
Amekaa na jamaa mwaka 1.5 lakini jamaa hajaamua kumuoa (dini yake ingeruhusu, na kipato bila shaka)

Conclusion
Yeye ni sexy (may be), Beautiful (may be) lakini sio marriage material (sio wife material)

Solution
Aachane nae, atafute mwingine, anaweza kuwa mume wa mtu tena au bachelor, but hatamwoa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…