Natamani kujiua

Ahahahaaaah!!! Unataka afe???
 
Apart from yule bwana wa Tunisia sidhani kama kujiua kulishawahi kuwa solution ya jambo lolote...........
Ushauri?, kama kweli unahuitaji tafuta wakwako ambaye hana mtu, alafu jifunze kumpenda.
 
wewe si wa kwanza wala wa mwisho kutembea na mume wa mtu kwa ajili ya sababu kadha wa kadha.
unachotakiwa kujua tu ni kuwa mara nyingi uhusiano humalizwa na mwanaume na yule ambaye hajapenda kweli, maa nyingi ni mwanaume, kwani kama angekupenda kweli, angemuacha mke wake bila ye wewe kufanya chochote.

Kitu kishatokea, saa hizi anza upya kama ulivyoelekezwa na wengi.
tunashukuru kwa kuweka fundisho hili hapa kwa wengine ambao WANAPENDA kweli waume za watu!
Wenzenu huwafanya tu ATM kwa muda ambao wapo pamoja, kupenda ni kujitafitia msongo tu wa mawazo.
ulitakiwa umchune tu akishtuka basi kila mtua anaendelea na maisha yake.
 

Hapo kwenye blue .. Hapo I like it
( Just do it)
 
Apart from yule bwana wa Tunisia sidhani kama kujiua kulishawahi kuwa solution ya jambo lolote...........
Ushauri?, kama kweli unahuitaji tafuta wakwako ambaye hana mtu, alafu jifunze kumpenda.

Dahhhh ulienda wapi jamini??
Mzima lakini??
 
polee sanaa kimada,kwanzaa badilishaa jinaa umejishushaa kwa kujiita kimada kwaninii usiwee owner...2.shukurumungu kwani wanawake wengi walio olewaa ukewezaa wanajuta..3,kama huo unzuri unaousemaa ni kweli tulia acha papara usikurupukee,achana na huyo mwanaume kabisa,jitulize hakikaa utapata mwanaume bora ate kupenda as who you are not wat u have..4,kuhusu mke wake kukusumbua badilisha number.HAKIKAA HAIMANISI WE ARE WEAK FOR LET IT GOES BUT SHOW HOW STRONGS YOUR FOR LET IT GOES"
 
Mungu ibariki ndoa yangu na niliyemuoa nisikutane na mishankupe kama KIMADA
 
Dahhhh ulienda wapi jamini??
Mzima lakini??
Mhh asante nilikuwa ninacomittment nyingi sana na nilishakuwa addicted na JF nikaamua nijipige BAN kidogo lakini it seems i cant stay away from JF; Afrodenzi and all the good people at JF
Mhh it feels good to be home.....
I really Miss u Guys
 
Mhh asante nilikuwa ninacomittment nyingi sana na nilishakuwa addicted na JF nikaamua nijipige BAN kidogo lakini it seems i cant stay away from JF; Afrodenzi and all the good people at JF
Mhh it feels good to be home.....
I really Miss u Guys

Du! kamanda ulipotea kweli, good to see you around!!..Welkam baki!
 
miaka 32 na bado unataka kuendelea kuwa kiburudisho? Pole sana kwa uelewa wako finyu juu ya wanaume! Wanaume siku hizi hatupagawi na uzuri wa mwanamke bali kujieshimu kwake na mchango wake kwa maendeleo, hivi unadhani atamuacha mke wake msomi na mwenye kazi nzuri afuate uzuri wako? Hah hah hah we endelea kujiona mzuri na hongera kwa kujaliwa uzuri...hivi unasubiri nini hadi leo una miaka 32 na bado unataka kuwa kimada? Umesema ulimpagawisha sana ina maana ulimpa tiGO? mwisho na kushauri utekeleze usemi wako ulioandika kwenye headline ya thread hii.. Maana ufahi, wanawake wanzio wanawaza kujiendeleza kielimu kimaisha we unawaza kujiua kisa unataka kuwa kimada wa mtu na umekataliwa?
 
Yale yaleee. Unakutana na mtu unaweweseka kimapenzi ndai ya miezi miwili. Hata baada ya kugundua kuwa ni mume wa mtu, badala ya kuchukua pre-caution mapema still uliendelea naye eti kwa sababu umeshampenda na kukolea. Halafu kusema kuwa mkewe hakuingii hata nusu kwa uzuri wako, ni dharau. Unamdharau mke wake kwa kujaribu kuhalalisha uzuri wako. kama wanawake wangekuwa wanaolewa kwa uzuri wa sura, mbona wengie wangekuwa tayari wameshaolewa?

Mwanaume sasa amegundua alichokuwa anafanya sio sahihii na ameamua kuiheshimu ndoa yake. Kuna kosa lolote hapo? Tena naona ni bora uache kumfuata ofisini kwake. Sio vizuri unavyofanya. Ni mume wa mtu na unajua wazi. Na kama ukiendekeza kwenda ofisi kweli mkewe anaweza kukufukuzisha kazi na wala usimpate mume wake.

Badala ya kutumia moyo wako, tumia kichwa chako kufikia maamuzi ya busara. Who knows, kama ungeachana naye pale tuu ulipogundua ni mume wa mtu, na wewe ungekuwa na mume sasa. Badala yake unatamani kujiua. Makosa ufanye wewe mwenye we halafu unauliza "Hivi kweli wanaume mnaweza kuwa wakatili hivi?" Kuna ukatili gani hapo? Unasema hujawahi maishani mwako kutembea na mume wa mtu zaidi ya huyu na hukuwahi kuwaza kuwa yatanikuta. Well, yamekukuta sasa.

Ushauri wangu. Kabla ya kujiua hakikisha unaungama dhambi zako zote ikiwemo ya kuzini na mume wa mtu.
 
Mhh asante nilikuwa ninacomittment nyingi sana na nilishakuwa addicted na JF nikaamua nijipige BAN kidogo lakini it seems i cant stay away from JF; Afrodenzi and all the good people at JF
Mhh it feels good to be home.....
I really Miss u Guys

Karibu ......
Pole sana na karibu tena
We miss you big time..


 

Karibu ......
Pole sana na karibu tena
We miss you big time..
Mhh asante sana you make feel special..., lakini ukweli ni kwamba hapa ni home away from home..., watu wazuri kama nyie mnanionyesha maybe i was crazy to be away from JF even for a short time,i ingawa tulikuwa hatucommunicate you were still in my heart..., asanteni sana and thanks again....
 
wanao taka kujiua hua hawabembelezwi. Kwa sababu hua hufanya huo ndio mchezo wao kila wanapo patwa na tatizo, wanapotaka kusumbua wazazi wao hata waume zao au wake zao. Ushauri wangu nenda kapande lile gorofa la benjamini william mkapa pale posta.halafu ujirushe ufilie mbali. Usije ukaja ukua watu wengine.
 
Ni uzuri gani huo ambao unahisi unamzidi mkewe? amakweli kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Umegundua hilo umbo no 8 lako unalosema si kitambulisho cha uzuri wa mtu? Umejidanganya dada usidhani mwanaume akikutaka, hampendi mkewe hapo uliopojipa kichwa ulikosea. Alikutamani tu ayachezee hayo mumbo yako then achukue time, mdogomdogo kwa mkewe haaaa haaaaaaaaaaaa Ukome na wanaume zawatu utapindishwa ohoooo mcheki vile, mkewe hakufikii uzuri je kwenye sita kwa sita mbona kakupiga bao mbaya, yakowapi.
 
Ningependa kuanza na neno frm da bible lisemalo,"NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE" hapa namaanisha kuwa u hav 2 respect hyo ndoa ya mwenzio,then kip urself in ha shoes ingekuwa we ndo mke ungemwacha mumeo awe na mke wa pli tena ambaye alishamchakachua?kumbka mapnz co umbo dada yangu,mapnz ni hica za ajab ambazo zaweza tokea kwa unexpected person...coz u dnt hav 2b beautiful,u can mek urself beautiful.unapozd kumbembeleza huyo mume wa ,wenzio,unaonekana very cheap!...do u knw dat pre-marital sex z against God?wen u do it,u luz s'thing gr8 while da enjoyment z very little,do u knw dat wen u sleep with a guy ur bodies bcam one ur minds souls n emotions bcamz one?!...ur huzb shuld b da first n da only man 2 sleep with u!remember da guy hu luvz u will neva tek u to bed b4 marriage!LOVE z luking 4ward 2 GIVE & it lasts longer while LUST z luking 4ward 2 tek u 2 bed n it ends afta sex!so,it seems dat,huyo mwanaume alikuwa na lust...leave him n his wyf,find s1 else ambaye hutashea na mtu...dnt accept to b a 'kimada'
 
Achia ngazi dada then move on. Sasa jamaa keshakuhakikishia kuwa basi hakutaki tena wewe unataka nini? I think the problem is:...u are still in denial. Utatoaje uhai wako kisa mwanadamu mwenzio? Ukijiua weujue ni safari ya jehanum tu.
Tuliza roho dada utampata mwingine.
 
Maisha ni mafupi sana hutakiwi kusikitika mpaka ujisikie kujiua.ukifa itasaidia nini?kwani hilo shape lako limepungua?hiyo kitu huko chini jamaa kaondoka nayo?we furahia ulichokipata kwenye huo uhusiano,ganga yajayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…