Natamani kujua historia ya CNN na Aljazeera

Natamani kujua historia ya CNN na Aljazeera

sampuli nyingi

Senior Member
Joined
May 4, 2022
Posts
187
Reaction score
298
Habari ndugu wanajukwaa wezangu. Poleni na hongereni kwa kazi

Samahan Sana wanaJf nimekua inspired Sana na hivi vyombo vya habari na kutaka Kujua historia zake

Asanten sana naomba kupewa japo kwa sehemu tu

Asante ndugu zangu
 
Back
Top Bottom