enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
Lemutuz bonge la bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hilo tisheti la lemutuz ukilichana kitambaa chake unaweza kushona suruali zangu 10.
Jamani vepeeee huko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vp idadi inaridhisha au imebuma tickets zinapatikana au dirisha lishafungwa kama walivyosemaNasikia huko hakuna live ni play back tu ila rayvan kafunikaa wanamuita simba simbaa
Kuwa na subira mama! Dakika chache tu vijana wetu wataanza kudondosha Picha..Jamani vepeeee huko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaa vipi nyomi likoje?Hili ndilo la muhimu zaidi.Nasikia huko hakuna live ni play back tu ila rayvan kafunikaa wanamuita simba simbaa