Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Mimi namfahamu alikuwa mtu Safi......
Sema tulipishana maana Mimi mzee Wa tungi yeye alikuwa mtu wa swala 5
Ila kwenye kusaidia amesaidia wengi

Ova
Hahah! Eti mzee wa tungi.


Mkuu nakutegemea sana kuhusu habari za mwamba ZINGIZI
 
Alikua tajiri asie na makuu Mwenye kuheshimu kupenda kujali na kuthamini mayatima na wahitaji

Aliwahi mjengea Nyumba jirani wa mama yake magomeni baada ya Nyumba kuungua alipofika na kuambiwa akasikitika kesho yake akaja na mafundi kwa suprise akamjengea Nyumba mpya na akannua na fenicha mpyaaaa.

Ya Pili aliwannulia Nyumba maimamu na masheikh akawa amewaweka msasani na mikocheni wakawa wanaishi na anawalipa kwa mishahara wakawa wanaishi good life

Wanalia wanawaza nani atasimamia shoo zote kirahisi hvyooo!!!wameumbuka mnoooo!!
Mimi binafsi namuombea Allah s.w ampe kitabu kwa mkono wa kulia
 
Alikua mtu sana jamaa!
 
Hilo jiji la Darisalama sijui kuna chocho gani hulijui
 
Kazi yake mola haina makosa.

Jamaa alikuwa mtu mzuri sana na mnyenyekevu na asiye na makuu na nasikia kati ya maghorofa yake pale kkoo flemu za chini kawapa masheikh pia
 
Hebu jaribu hii
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna clip kwenye You Tube, Sheikh Abbas Ramadhan (Imam wa msikiti wa Mtoro Kariakoo) amemwelezea Alhaj Zingizi kwa jinsi alivyomfahamu (alisoma naye Madrasa), hebu jaribu kuitafuta
Nimeona umeshanitumia kumbe jamaa alikuwa mtu wa watu sana na alikuwa hana makuu kabisa.

Asante kwa clip
 
Reactions: bbc
Hilo jiji la Darisalama sijui kuna chocho gani hulijui
mrangi ni kichwa hasa huwa namkubali sana, kungekuwa na mapendekezo ya kuingiza watu kwenye idara fulani huyu angefaa maana Dar anaijua in and out pia na watu maarufu, majambazi, matapeli, wauza ngada na matajiri wote anawajua na hustle zao...

Ingawa naona hapa kwa huyu jamaa umeamua kuficha baadhi ya mambo, haiingii akilini mtu atoke kuuza mgahawa aibuke kuwa tajiri ghafla. Kwa namna yoyote huyu bwana alijihusisha na madawa ya kulevya au biashara nyingine iliyompa ukwasi kwa ghafla hivyo...

Huyu jamaa ni very potential maana taarifa nyingi nyeti anazo...

Salute popote ulipo...
 
Huyu alikuwa anafanya biashara ya vipodoz
Na wakina sauli s.h amon
Walianza kitambo Sana.... Vipodoz vilikuwa vina ingiza Hela sana
Huyu jamaa Kuna wakati alitupaga connection ya kufata maziwa super milk toka Zimbabwe na kuyaleta Tanzania kuuza...... Nakumbuka hadi mtaji alitu boost wakati huo Zimbabwe oya oya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…